Breaking News

Your Ad Spot

Oct 25, 2015

RAIS KIKWETE APIGA KURA JIJINI KWAKE MSOGA

1
Rais Kikwete akiwa katika foleni akisuburi zamu yake ya kupiga kura  katika kituo cha hospitali ya kijiji cha Msoga kata ya Msoga wilayani Bagamoyo
2
Ofisa katika kituo cha kupigia kura katika kituo cha hospitali ya kijiji cha Msoga akihakiki kadi ya kupiga kura ya Rais Kikwete.
3 4
Ofisa katika kitu cha kupiga kura akimkabidhi Rais Kikwete karatasi za kupiga kura.
5
Rais  Kikwete akiandika kura yake ya siri.
7 8
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipiga kura ya Rais Mbunge na Diwani katika kituo cha kupiga kura cha hospitali ya kijiji cha Msoga,Kata ya Msoga wilayani Bagamoyo
9
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwekwa wino na msimamizi wa kituo unaotambulisha kuwa amepiga kura.
(Picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages