.

WAZIRI MKUU PINDA APIGA KURA KIJIJINI KWAKE KIBAONI

Oct 25, 2015

 unnamedm unnamedn
Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda akipiga kura kumchagua Rais, Mbunge na Diwani katika kituo cha kupiga kura kilichopo kwenye Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kibaoni wilayani Mlele
unnamedk
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akiwa amembeba mototo aliyezaliwa usiku wa kuamkia tarehe 25,-10-2015  na kupewa jina la Magufuli katika kituo cha Afya cha Kibaoni wilayani Mlele
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª