.

WAZIRI MKUU, PINDA AKUTANA NA RAIS MSTAAFU WA POLAND

Oct 23, 2015

  01
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza katika kikao kati ya ujumbe wa Tanzania na ujumbe wa Polanda aulioongozwa na Rais Mstaafu wa nchi hiyo Lech Walesa (kushoto) katika hafla ya utiaji saini  makubaliaono ya mkopo nafuu ambapo Tanzania itapokea matrekta kutoka Poland yatakayounganishwa na SUMA JKT hapa nchini. Utiaji saini huo ulifanyika kwenye  Makao Makuu ya JKT Mlalakuwa jijini Dar es slaam Oktoba 22, 2015.
03
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na Rais Mstaafu wa Poland, Lech Walesa  (kulia)  baada ya kushuhudia utiaji saini wa makubaliano ya mkopo nafuu wa matrekta na magahala  ya nafaka kutoka Poland kwenye mako Makuu ya JKT, Mlalakuwa jijini Dar es slaam
02
Waziri Mkuu, Mizengo  Pinda na  Rais mstaafu wa Poland, Lech Walesa (kulia kwake) wakiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa Tanzania na Poland ulioshiriki katika mazungumzo na utiaji saini makubaliano ya mkopo nafuu ambapo Tanzania itapokea matreta na maghala kutoka poland . Utiaji saini huo ulifanyika kwenye makao makuu ya JKT, Mlalakuwa jijini Dar es slaam
(Picha na Ofisi ya  Waziri Mkuu)

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª