Breaking News

Your Ad Spot

Nov 4, 2015

SIKU YA MWISHO YA RAIS KIKWETE IKULU

jk2
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akifanya kazi ofisini kwake Ikulu jijini Dar es salaam kwa mmara ya mwisho leo Novemba 4, 2015 kabla ya kukabidhi madaraka kwa Rais wa awamu ya Tano anayetarajiwa kuapishwa kesho Dkt John Pombe Joseph Maguful
jk3
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akitoka ofisini kwake Ikulu jijini Dar es salaam baada ya kufanya kazi katika siku ya  mwisho leo Novemba 4, 2015 kabla ya kukabidhi madaraka kwa Rais wa awamu ya Tano anayetarajiwa kuapishwa kesho Dkt John Pombe Joseph Maguful.
Picha na IKULU

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages