Breaking News

Your Ad Spot

Dec 30, 2015

MPIGANAJI IS AUAWA

Kiongozi wa kundi la Islamic State ambaye amehusishwa na shambulio la kigaidi la Paris Ufaransa ameuawa na majeshi ya muungano.
Jeshi la Marekani limesema kiongozi huyo Charaffe al Mouadan alikufa katika katika shambulio la anga.
Msemaji wa jeshi la Marekani amesema mpiganaji wa Kisyria alikuwa akipanga mashambulizi zaidi dhidi ya nchi za magharibi na alikuwa na mawasiliano ya karibu na anayetuhumiwa kupanga shambulio la Paris.
Jeshi la Marekani limesema viongozi 10 wa Islamic State wameuawa mwezi huu

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages