Breaking News

Your Ad Spot

Dec 30, 2015

SPIKA WA BUNGE, JOB NDUGAI AMEREJEA LEO KUTOKA INDIA

 Spika wa Bunge Job Ndugai akilakiwa na Naibu Spika wa Bunge Tulia Ackson mara baada ya kuwasili katika uwanja Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Nchini India alikokuwa kwa ajili ya matibabu.
 Spika wa Bunge Job Ndugai akilakiwa na Naibu Spika wa Bunge Tulia Ackson mara baada ya kuwasili katika uwanja Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Nchini India alikokuwa kwa ajili ya matibabu.
  Spika wa Bunge Job Ndugai akisalimiana na Naibu Waziri wa Nishati na Madini Medard Kalemani mara baada ya kuwasili katika uwanja Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere Jijini ni Dar es salaam akitokea Nchini India alikokuwa kwa ajili ya matibabu. Kushoto ni Naibu Spika wa Bunge, Tulia Ackson na Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Anastazia Wambula na aliyeko kulia ni Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah.

   Spika wa Bunge  Job Ndugai na Mkewe wakisalimiana na Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Nchini India alikokuwa kwa matibabu.

 Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah akifafanua jambo kwa Spika wa Bunge  Job Ndugai mara baada ya kumpokea katika uwanja Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Nchini India alikokuwa kwa ajili ya matibabu. Katikati ni Naibu Spika wa Bunge Tulia Ackson.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages