Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil
akizungumza na washiriki wa Mafunzo ya awali kwa Watumishi wa Mkataba
wa Idara ya Huduma kwa Wakimbizi(hawapo pichani),wakati alipofungua
mafunzo hayo yenye lengo la kuwajengea uwezo watumishi wapya, katika
ukumbi wa mikutano wizarani hapo,jijini Dar es Salaam.Kulia ni Kaimu
Mkurugenzi Idara ya Huduma kwa Wakimbizi, Numbilya Mpolo.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Mbarak Abdulwakil akizungumza
na washiriki wa Mafunzo ya awali kwa Watumishi wa Mkataba wa Idara ya
Huduma kwa Wakimbizi wakati alipofungua mafunzo hayo yenye lengo la
kuwajengea uwezo watumishi wapya, katika ukumbi wa mikutano wa wizara,
jijini Dar es Salaam.Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Idara ya Huduma kwa
Wakimbizi, Numbilya Mpolo, kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na
Usimamizi wa Rasilimali Watu wa Wizara hiyo, Lilian Mapfa .
Washiriki
wa Mafunzo ya awali kwa Watumishi wa Mkataba wa Idara ya Huduma kwa
Wakimbizi, wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi, Mbarak Abdulwakil(hayupo pichani), wakati alipofungua mafunzo hayo
katika ukumbi wa mikutano wizarani hapo,jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi
wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu wa Wizara ya Mambo
ya Ndani ya Nchi, Lilian Mapfa, akizungumza na washiriki wa Mafunzo ya
awali kwa Watumishi wa Mkataba wa Idara ya Huduma kwa Wakimbizi(hawapo
pichani),kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi wa Kitengo cha Utawala na
Usimamizi wa Idara ya Wakimbizi, Deusdedit Masusu.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil(watatu
kutoka kushoto), akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa Mafunzo ya
awali kwa Watumishi wa Mkataba wa Idara ya Huduma kwa Wakimbizi, muda
mfupi baada ya kufungua mafunzo hayo katika ukumbi wa Wizara hiyo,
jijini Dar es Salaam wanne kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya
Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu wa Wizara hiyo, Lilian Mapfa na
wa pili kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Huduma kwa Wakimbizi,
Numbilya Mpolo .(Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,MOHA).Imeandaliwa na Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali-Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269