Breaking News

Your Ad Spot

Dec 30, 2015

ENOCK BELLA WA YAMOTO BAND NA PILIPILI NA MAJI

Makubwa mengine ya Enock Bella wa Yamoto Band ni haya…yanahusisha pilipili na maji.

Enock Bella ni mwimbaji wa bandi ya Yamoto kutoka kwenye mikono ya mkubwa na wanae kundi linavijana wanne kila mmoja na kionjo chake cha sauti, usidhani ile sauti ya Enock wa yamoto band unayoisikia kwenye hits kadhaa imekuja tu hapana inalishwa pilipili
Msanii huyo alikaa na ripota wa millardayo.com kwenye Exclusive siri ya sauti yake…kwenye sentensi zake>>>Enock Bella
Mtu kuwa na sauti nzito ni Mwenyezi Mungu ndio anapanga ila sauti yangu imezidi kuwa nzito kwa sababu ya mazoezi lakini sasa kwa jinsi tuvyopanga ikabidi mimi nishike nafasi yangu kama besi nisile vitu ambavyo wanakula wenzangu ;-Enock wa yamoto band

IMG-20151227-WA0001
Mimi naweza kula vitu vya baridi navyotumia pilipili natumia vitu tofauti kuweza kuikaza sauti yangu ..sio kila siku nakula pilipili ingawaje pilipli inaleta joto jingi mwilini lakini ndio hivyo utafanyanini ndio kazi;-Enock wa yamoto band

E bella
Kwenye sentensi nyingine>>>Mwaka 2015 unakwenda kuisha maisha gani umeyapitia na hauwezi kuyasahau..? ‘Siwezi kusahau mwaka huu ni mempoteza marehemu mama yangu iko ndio kitu sitokuja kukisahau milele daima mpaka naingia kabrini kwa sababu yeye ndio mwanamke wangu wa nguvu….wakati yupo mama tulikuwa tunaishi vizuri maisha safi kwa raha pindi mama alivyotoweka tu familia imeparaganyika mimi naishi kwangu namdogo wangu wadogo zangu wengine wanaishi kivyao, father wangu anaishi kivyake na bro wangu yaani ndio sitokuja kusahau katika maisha yangu;-Enock Bella wa yamaoto band

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages