Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa
na Michezo, Nape Nnauye (kushoto) akimkaribisha ofisini kwake Balozi
wa Uturuki Bi. Yasemin Eralp, Balozi huyo alimtembelea Waziri Nape kwa
ajili ya kuzungumzia ushirikiano wa Tanzania na Uturuki katika masuala
mbalimbali ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa
na Michezo, Nape Nnauye (kushoto) akizungumza jambo na Balozi wa
Uturuki nchini Bi, Yasemin Eralp leo jijini Dar es salaam. Waziri Nape
alimsihi Balozi uyo kuwekeza katika Nyanja mbalimbali za Filamu,Michezo
na kubadilishana ujuzi katika sekta ya Habari na kumwahidi ushirikiano
ulio bora kati ya nchi hizo mbili.


No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269