Breaking News

Your Ad Spot

Jan 26, 2016

DK. SHEIN AONGOZA MAMIA KUMZIKA MAREHEMU RAMADHAN NYONJE PANDU HUKO UNGUJA, ZANZIBAR


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein na Viongozi na Wananchi wakishiriki katika Sala ya kumsalia marehemu Ramadhani Nyonje Pandu iliofanyika katika msikiti wa fuoni na kuzikwa kijijini kwao Paje Wilaya ya Kusini Unguja.(Picha na Ikulu)
 Baadhi ya waombolezaji walioshiriki katika ibada ya kumwombea aliyekuwa Mshauri Mkuu wa Masuala ya Sheria wa Bunge, maerehemu Oscar Mtenda iliyofanyika nyumbani kwake mjini Dodoma Januari 26, 2016
Baadhi ya waombolezaji walioshiriki katika ibada ya kumwombea aliyekuwa Mshauri Mkuu wa Masuala ya Sheria wa Bunge, maerehemu Oscar Mtenda iliyofanyika nyumbani kwake mjini Dodoma Januari 26, 2016
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akishiriki dua ya kuuombea Mwili wa Marehemu Ramadhani Nyonje Pandu wakati alipofika nyumbani kwa marehemu fuoni michezani Unguja  kutoa mkono wa pole kwa wanafamilia leo asubuhi
Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa marehemu Ramadhani Nyonje Pandu wakielekea kuzika 

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages