Breaking News

Your Ad Spot

Jan 22, 2016

DKT. SHEIN MAALIM SEIF WASHIRIKI MAZISHI YA KADA WA CCM BI. ASHA BAKARI MAKAME


 Vijanawa CCM, wakiwa wamebeba jeneza la kada wa chama hicho, ambaye alikuwa makamu mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake, CCM, Bi. Asha Bakari Makame, wakati wa mzishi yake hukoJang'ombe mjini Unguja. Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein, na Makamu wa Kwanza wa Rais, Maalim Seif Sharif Hamad, walishiriki kwenye mazishi hayo. (Picha na Ikulu ya Zanzibar)

 Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed Shein akiweka mchanga kaburini wakati wa mazishi hayo
Makamu wa kwanza wa rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad akiweka mchanga kaburini


Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa marehemu Asha Bakari Makame, aliyekuwa makamu mwenyekiti wa UWT baada ya kumaliza kuombewa dua na Sala iliofanyika katika Masjid Noor-Muhammad Kwamchina Zanzibar na kufuatiwa na mazishi yaliyofanyika huko Jang’ombe mjini Unguja



RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, (wakwanza kushoto) na Viongozi na Wananchi wakishiriki katika Sala ya kumsalima Marwhemu Asha Bakari Makame iliofanyika katika Masjid Noor-Muhammad Kwa mchina Unguja leo asubuhi
 Makamu wa kwanza wa Rais, wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, 9wakwanza kulia), Rais mstaafu wa Zanzibar, Aman Abeid Karume, 9wapili kulia), Makamu wa pili wa rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, (katikati), Makamu wa Rais mstaafu wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (wapili kushoto), na Waziri Kiongozi mstaafu, Shamsi Vuai Nahodha, wakiomba dua wakati wa sala hiyo ya marehemu





NAIBU MUfti wa Zanzibar akisoma Dua baada ya kumaliza Sala ya kumsalia marehemu Asha Bakari Makame iliofanyika katika Masjid Noor-Muhammad Kwamchina Zanzibar



No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages