Breaking News

Your Ad Spot

Jan 22, 2016

WAZIRI MKUU MAJALIWA AONGOZA MKUTANO WA WABUNGE, NI KUELEKEA MKUTANO WA BUNGE UNAOTARAJIWA KUANZA WIKI IJAYO

 Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akisalimiana na Mbunge wa
Mafinga mjini Cosato Chumi kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Januari 22, 2016, baada ya kuongoza kikao cha wabunge wote kwenye ukumbi wa bunge  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Majaliwa akifurahia jambo na Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nasari


Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akisalimiana na Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nasari kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Januari 22, 2016, baada ya kuongoza kikao cha wabunge wote kwenye ukumbi wa bunge  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua mkutano wa wabunge, bungeni mjini Dodoma Januari 22, 2016.  Kulia ni Spika wa Bunge Job Ndugai na kushoto ni Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kahilillah

Spika wa Bunge Job Ndugai akizungumza kumkaribisha Mwenyekiti wa Mkutano wa Wabunge, Waziri Mkuu, Kassim Majliwa kufungua mkutano huo bungeni mjini Dodoma Januari 22, 2016. Kulia ni Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashilillah.

Mkurugenzi wa Shughuli za Bunge, Nenelwa Mwihambi akitoa mada katika mkutano wa wabunge ulioongozwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, buneni mjini Dodoma Januari 22, 2016. Watatu kulia ni Spika wa Bunge Job Ndugai na kulia ni Katibu wa Bunge, Dkt. Thomas Kashilillah

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Gerge Masaju akitoa mada katika mkutano w wabunge , bungeni mjini Dodoma Januari 22, 20167
Wabunge, Jenista Mhagama wa Peramiho (kushoto) na January Makamba  wakiteta katika mkutano wa wabunge, bungeni mjini Dodoma Januari 22, 2016

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages