Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akifungua pazia kama iskara ya Uzinduzi wa Taa za Kuongozea
Ndege katika kiwanja cha Ndege cha Karume Pemba jana ikiwa ni katika
sherehe za shamra shamra za maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar (kushoto) Naibu Waziri wa Miundombinu na
Mawasiliano Issa Haji Ussi(GAVU),[Picha na Ikul]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (kulia) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya
viwanja vya Ngege Zanzibar Kepten Saidi Iddi Ndumbugani, kuhusu aina ya
Taa mbali mbali zilizofungwa kwa uongozaji wa Ndege wakati wa ikitua
katika sherehe ya uzinduzi wa Taa za kuongozea Ndege kwenye kiwanja cha
ndege cha Pemba uliofanyika jana ikiwa ni katika maadhimisho ya miaka
52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Aina
ya Taa zilizokuwa nje kabisa ya kiwanja cha ndege cha Karume Pemba
ambazo hutoa ishara kwa Kepteni anayeongoza Ndege ikitua,Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
pamoja na Viongozi mbali mbali aliofuatana nao walijionea taa hizo
namna zilivyofungwa katika utaratibu maalum wakati uzinduzi wa Taa za kuongozea Ndege kwenye kiwanja cha ndege cha Pemba uliofanyika jana ikiwa ni katika maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya viwanja vya
Ngege Zanzibar Kepten Saidi Iddi Ndumbugani, kuhusu majenereta
yanayotoa umeme baada ya kuzindua rasmi Taa za kuongozea Ndege kwenye
kiwanja cha ndege cha Pemba jana ikiwa ni katika maadhimisho ya miaka 52
ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

Wafanyakazi
Mamlaka ya Viwanja vya Ndege na Wananchi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi wakati alipkuwa akitoa hutuba yake
ya uzinduzi
wa Taa za kuongozea Ndege kwenye kiwanja cha ndege cha Pemba jana ikiwa
ni katika maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Naibu Waziri wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano Issa Haji Ussi(GAVU) akitoa slamau za Wizara pamoja na kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kuzungumza na wananchi katikasherehe
za uzinduzi wa Taa za Kuongozea Ndege katika kiwanja cha ndege cha
Pemba jana ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 52 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na wananchi katika sherehe
za uzinduzi wa Taa za Kuongozea Ndege katika kiwanja cha ndege cha
Pemba jana ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 52 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar,(kulia) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mwanajuma
Majid na (kushoto) Naibu Waziri wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano Issa Haji Ussi(GAVU),[Picha na Ikulu.]




No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269