Breaking News

Your Ad Spot

Jan 25, 2016

ESTER BULAYA AIBUKA MSHINDI MAHAKAMANI LEO

DSC04632
Mbunge wa Bunda Mjini Ester Bulaya.
Mahakama kuu kanda ya Mwanza imetupilia mbali kesi ya uchaguzi ya kupinga ubunge wa Bunda mjini na kumpa ushindi Ester Bulaya wa Chadema.
Baada ya Mahakama kutupilia mbali kesi hiyo Mbunge huyo wa Bunda Mjini Ester Bulaya ameandika hivi
” Nimemshinda Wasira kwa wananchi na leo nimemshinda mahakamani, mahakama imetupilia mbali kesi yake dhidi ya. Ushindi wangu”
CZj0gHAUEAAl6L_

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages