Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiwa
kwenye mazungumzo na rais mstaafu, Benjamin Mkapa Ikulu jijini Dar es
Salaam Leo Januari 7, 2016. Rais pia amekutana na Waziri Mkuu mstaafu na
aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph
Warioba. Rais alikutana na kufanya mazungumzo na rais mstaafu Jakaya
Kikwete Siku moja kabla ya kukutana na viongozi hapo.
Rais akiwa kwenye mazungumzo na Jaji Warioba


No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269