Waziri
wa Afya Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu,
akizungumza na Waandishi wa Habari kabla ya kufungua Mkutano wa
Madaktari na Viongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, kushoto ni Katibu
Mkuu wa Wizara ya Afya, Dk. Ulisubisya Mpoki na Kulia ni Profesa Mohammed Janabi. (PICHA ZOTE NA UJIJIRAHAA BLOG)
Waziri
wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu
(kushoto), akipata maelezo kutoka kwa Daktari Bingwa wa Upasuaji Moyo
Watoto, Godwin Godfrey mara alipotembelea Wold ya watu waliokweisha
fanyiwa Matibabu ya magonjwa hayo. kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya
Afya, Dk. Ulisubisya Mpoki
Waziri
wa Afya Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu,
akizungumza na Madaktari na Wakuu wa Idara mbalimbali wa Hospitali ya
Taifa Muhimbili Dar es Salaam, kuanzia kushoto ni Naibu Waziri wa Afya,
Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto. Hamisi Kigwangala, Kaimu Mkurugenzi
Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Profesa. Lawrence Museru na kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dk. Ulisubisya Mpoki
Daktari Bingwa wa Hospi Primusi Saidia akizungumza jambo katika Mkutano huo na kuwaomba madaktari na wakuu waida wanao mkuli Kaimu
Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Prof. Lawrence Museru aongezewe muda wanyooshe mikono
Baadhi ya Madaktari na Wakuu wa Vitengo wakinyoosha mikono mbele ya Waziri wa Afya wakiashiria kumkuli Kaimu
Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Prof. Lawrence Museru
aongezewe muda na Rais Magufuli na ameonyesha jicho la tatu katika wote
viongozi waliopita katika Hospitali hiyo kuwashinda baada ya Daktari
Bingwa Dk. Primusi Saidia alipokuwa akizungumza katika Mkutano huo
Daktari Bingwa wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Kissa Mwambene akizungumza katika Mkutano huo
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269