Breaking News

Your Ad Spot

Jan 15, 2016

UNESCO YAAHIDI KUENDELEA KUSAIDIA SEKTA ZA HABARI NA UTAMADUN



BB2
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo . Nape Moses Nnauye akisalimiana na Mkurugenzi Mkazi wa UNESCO Bibi. Zulmira Rodrigues alipomtembelea ofisini kwake  jijini Dar es Salaam.
BB3
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo . Nape Moses Nnauye akizungumza na Mkurugenzi Mkazi wa UNESCO Bibi. Zulmira Rodrigues (kulia) alipomtembelea ofisini kwake  jijini Dar es Salaam.
BB1
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akimsikiliza Mkurugenzi Mkazi wa UNESCO Bibi. Zulmira Rodrigues (kulia) alipomtembelea ofisini kwake  jijini Dar es Salaam.
BB4
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo . Nape Moses Nnauye (kulia) akizungumza na Mkurugenzi Mkazi wa UNESCO Bibi. Zulmira Rodrigues (kushoto) alipomtembelea ofisini kwake leo jijini Dar es Salaam. Wengine ni Afisa Habari wa UNESCO Bi. Nancy Kaizirege (mwenye nguo ya dhambarau).PICHA NA FRANK SHIJA, WHUSM

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages