Breaking News

Your Ad Spot

Jan 5, 2016

WAZIRI MKUU MAJALIWA ATEMBELEA HOSPITALIYA MKOA WA RUVUMA NA KUJIONEA MWENYEWE HUDUMA ZA HOSPITALI HIYO



Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akimsalimia Josephine John  ambaye amelazwa katika hospitali ya mkoa wa Ruvuma kwa matibabu. Alikuwa katika ziara ya mkoa huo  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na bibi Antonia Moyo ambaye alikuwa akipata matibabu katika chumba maalum cha waze katika hospitali ya mkoa wa Ruvuma wakati alipoitembelea hositali hiyo akiwa katika ziara ya mkoa huo. Kulia ni Mkuu wa Mkoa huo Thabiti Mwabungu.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na bibi Antonia Moyo ambaye alikuwa akipata matibabu katika chumba maalum cha waze katika hospitali ya mkoa wa Ruvuma wakati alipoitembelea hositali hiyo akiwa katika ziara ya mkoa huo, Kulia ni Mkuu wa Mkoa huo Thabiti Mwabungu.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akimsalimia mtoto Flora Mapunda (1) ambaye amelazwa katika hospitali ya Mkoa wa Ruvuma ambayo  Waziri Mkuu aliitembelea na  kuzungumza na watumishi  akiwa ktika ziara ya mkoa huo




Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (wapili kushoto) akizungumza na baadhi ya wananchi waliofika kuwahudumia wagonjwa wao waliolazwa kwenye hospitali ya mkoa wa Ruvuma baada ya kuitembelea akiwa katika ziara ya mkoa huo,  kulia ni Mbunge wa Songea Mjini, Leonidas Gama na Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Thabiti  Mwambungu
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitembelea wagonjwa kwenye hospitali ya mkoa wa Ruvuma wakati wa ziara yake ya kikazi mkoani humo Januari 5, 2016
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (wapili kulia) kitembelea wagonjwa kwenye hospitali ya mkoa wa Ruvuma wakati wa ziara yake ya kikazi mkoani humo

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages