Breaking News

Your Ad Spot

Jan 5, 2016

MAHAKAMA KITENGO CHA ARDHI YAAMURU BOMOABOMOA KUSITISHWA

Mbunge wa Jimbo la Kinondoni Maulidi Mtulia akizungumza na Wananchi waliowekewa Nyumba zao alama ya X mara baada ya shauri lao kusikilizwa katika Makahakama ya Kitengo cha Ardhi Dar es Salaam. (PICHA ZOTE  NA KHAMISI MUSSA)
 Wananchi waliowekewa Nyumba zao alama ya X wakiagana na Mbunge wa Jimbo la Kinondoni Maulidi Mtulia mara baada ya shauri lao kusikilizwa katika Makahakama ya Kitengo cha Ardhi
Wananchi wakiondolewa eneo hilo la mahakama na Askari mara baada ya kuongea na Mbunge wao  kuwapa matokeo ya maamuzi ya Mahakama hiyo ilivyotowa maamuzi

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages