Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary (kushoto kwake ) wakielekea
kwenye Chumba cha mapumziko baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa
Songea na kupokelewa na wanachi na viongozi wa mkoa huo Januari 3,
2016. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma , Thabiti Mwambungu na
kushoto ni Mbunge wa Songea Leonidas Gama. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu )
Your Ad Spot
Jan 4, 2016
Home
Unlabelled
WAZIRI MKUU MAJALIWA AWASILI SONGEA KWA ZIARA YA KIKAZI
WAZIRI MKUU MAJALIWA AWASILI SONGEA KWA ZIARA YA KIKAZI
Share This
About khamisimussa77@gmail.com
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269