Baadhi ya vifaa mbalimbali na nyaraka mbalimbali zikiwa nje ya jengo lililoamriwa na Rais Magufuli kupisha. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Nyaraka zikiwa ndani ya box gumu likiingizwa ngani ya Gari
Baadhi ya wafanyakazi wakihamisha baadhi ya nyaraka zilizokuwa zikitumika katika ofisi hizo
Wauguzi
wa Hospitali ya Taifa Muhimbili wakiwa katika maadalizi ya kuandaa
vitanda vya akina mama walio kuwa wakilala chini wakitekeleza agizo la
Rais Magufuli
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu (kushoto) akiteta jambo na Profesa Lawrence Museru wapili kushoto, na anaye fatia ni Mganga mkuu wa Serikali Muhammad Kambi na Katibu mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mpoki Ulisubisya
Waziri
wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu
wakitoka ndani ya Jengo la Wazazi upande wa Kiliniki ya Afya ya Uzazi na
Mtoto, ambapo wameweza kuweka vitanda vipatavyo 32
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269