Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape
Nnauye, akisalimiana na Athumani Hamisi alipomtembelea nyumbani kwake Sinza
Madukani jijini Dar es Salaam.
Athumani Hamisi
alikuwa Mpigapicha Mkuu wa Magazeti ya Daily/Sunday News na Habari Leo,
yanayomilikiwa na Serikali kupitia Shirika lake la Standard Newspapers, ambaye
alipata ajali ya gari miaka kadhaa iliyomsababishia baadhi ya viungo vyake
kutokufanyakazi.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269