Breaking News

Your Ad Spot

Feb 15, 2016

WAZIRI WA ELIMU WA ZAMANI ISALIA ELINAWINGA AZIKWA LEO


Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) ,Baba Askofu Dkt Fredrick Shoo akitoa heshima ya mwisho kwa marehemu Isalia Elinewinga wakati wa shughuli ya mazishi iliyofanyika kijiji cha  Losaa Masama Magharibi wilayani Hai.
Jeneza lenye mwili wa marehemu Isalia Elinewinga. KWA PICHA ZAIDI>BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages