KONTENA limeangukia daladalapale Tabata-Sheli jijini Dar es Salaam leo majira ya mchana Februari 10, 2016. Kwa mujibu wa mashuhuda watukadhaa wanahofiwa kupoteza maisha kwenyeajali hiyo. Taarifa kamili baadaye
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269