ALIYEKUWA
mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Waziri Mkuu
mstaafu, Edward Lowassa, amejulia hali Sheikh Mkuu wa Tanzania, Muft
Aboubakary Zubery ambaye anapatiwa matibabu kwenye Taasisi ya Moyo ya
Jakaya Kikwete ya Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam.
Lowassa, alipokelewa na Sheikh Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Alhadi
Mussa Salum na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo wa Hospitali hiyo,
Dkt.Tulizo Shem Sanga



No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269