Breaking News

Your Ad Spot

Feb 13, 2016

MAJALIWA AFUNGA MAFUNZO YA WATENDAJI WAKUU WA KIJESHI NA KIRAIA

mf2
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofunga mafunzo ya pili ya watendaji  wakuu waandamizi  na wakuu wa kiraia na kijeshi kwenye Chuo cha Kijeshi Kunduchi jijini Dar es salaam Februari 12, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
mf3
Washiriki wa  mafunzo ya pili ya watendaji  wakuu waandamizi  na wakuu wa kiraia na kijeshi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majliwa wakati alipofunga mafunzo hayo kwenye Chuo cha Kijeshi Kunduchi jijini Dar es salaam
mf5
Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa (walio kaa watano kulia) akiwa katika picha ya pamoja na  washiriki wa mafunzo ya pili ya watendaji  wakuu waandamizi  na wakuu wa kiraia na kijeshi  baada ya kufunga mafunzo hayo  kwenye Chuo cha Kijeshi Kunduchi jijini Dar es salaam

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages