Makamu Mwenyekiti wa Klabu ya Coastal Union,Salim Amiri akimkabidhi fedha kiasi cha milioni mbili (2000,000) Nahodha wa
timu hiyo,Hamis Mbwana “Kibacha”
zilizotolewa na Mfadhili wa timu hiyo,Alhaji Salim Bajaber ambaye ni
mkurugenzi wa kiwanda cha Unga cha
Pembe Tanga wanaoshuhudia ni
viongozi wa timu hiyo makabidhiano hayo yalifanyika viwanja vya shule ya
sekondari Popatlaly mara baada ya
kumalizika mazoezi ya jana jioni.
Nahodha wa timu ya Coastal Union, Hamis Mbwana“Kibacha” akionyesha juu fedha alizizokabidhiwa milioni mbili (2000,
000) kama motisha baada ya kuifunga
timu ya Yanga zilizotolewa na Mfadhili wa timu hiyo,Alhaji Salim
Bajaber ambaye ni mkurugenzi wa
kiwanda cha Unga cha Pembe Tanga
wanaoshuhudia ni viongozi wa timu hiyo makabidhiano hayo yalifanyika
viwanja vya shule ya sekondari
Popatlaly mara baada ya kumalizika mazoezi ya jana jioni.
Makamu Mwenyekiti wa Klabu ya Coastal Union, Salim Amiri akitoa nasaha kwa wachezaji wa timu hiyo kuhakikisha wanafanya vizuri
kwenye michezo yao inayofuata ili
waweze kumaliza Ligi kuu wakiwa nafasi za juu mara baada ya kupokea
kitita cha sh.2000, 000 kama
motisha baada ya kuifunga timu ya
Yanga zilizotolewa na Mfadhili wa timu hiyo,Alhaji Salim Bajaber ambaye
ni mkurugenzi wa kiwanda cha Unga
cha Pembe Tanga wanaoshuhudia ni
viongozi wa timu hiyo makabidhiano hayo yalifanyika viwanja vya shule ya
sekondari Popatlaly mara baada
ya kumalizika mazoezi ya jana jioni
kulia ni Kaimu Katibu Mkuu wa timu hiyo, Salim Bawaziri na wa kwanza
kushoto ni Kocha Mkuu wa timu
Ally Jangalu na wajumbe wa kamati ya utendaji wa timu hiyo.
Kaimu Katibu Mkuu wa timu ya Coastal Union,Salim Bawaziri akitoa nasaha zake kwa wachezaji mara baada ya kukabidhiwa
fesha kiasi cha milioni mbili
(2000,000) (2000, 000)kama motisha baada ya kuifunga timu ya Yanga
zilizotolewa na Mfadhili wa timu hiyo,Alhaji
Salim Bajaber ambaye ni mkurugenzi
wa kiwanda cha Unga cha Pembe Tanga wanaoshuhudia ni viongozi wa timu
hiyo makabidhiano hayo yalifanyika
viwanja vya shule ya sekondari Popatlaly mara baada ya kumalizika mazoezi ya jana jioni
Picha zote na Kitengo cha Mawasiliano Coastal Union
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269