Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Nnauye akisalimiana na
Athumani Hamisi alipomtembelea nyumbani kwake Sinza Madukani jijini Dar
es Salaam. Athumani Hamisi alikuwa Mpigapicha Mkuu wa Magazeti ya
Daily/Sunday News na Habari Leo, yanayomilikiwa na
Serikali kupitia Shirika lake la Standard Newspaper, ambaye alipata ajali iliyomsababishia baadhi ya viungo vyake kutokufanyakazi
Serikali kupitia Shirika lake la Standard Newspaper, ambaye alipata ajali iliyomsababishia baadhi ya viungo vyake kutokufanyakazi
Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers Ndugu Eric Shigongo akisalimiana na
Athumani Hamisi alipomtembelea nyumbani kwake Sinza Madukani jijini Dar es Salaam, kushoto ni Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye. Athumani Hamisi alikuwa Mpigapicha Mkuu wa Magazeti ya Daily/Sunday News na Habari Leo, yanayomilikiwa na
Serikali kupitia Shirika lake la Standard Newspaper, ambaye alipata ajali iliyomsababishia baadhi ya viungo vyake kutokufanyakazi.

Athumani
Hamisi akizungumza machache juu ya hali yake inavyoendelea mbele ya
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye (kushoto)
na Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers Ndugu Eric Shigongo.
Athumani
Hamisi akizungumza machache juu ya hali yake inavyoendelea mbele ya
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye (kushoto)
na Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers Ndugu Eric Shigongo
Waziri wa
Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akimjulia hali
Athumani Hamisi alipomtembelea nyumbani kwake Sinza Madukani jijini
Dar es Salaam, kushoto ni mtoto wake wa kwanza Msafiri Athumani na kulia
ni Mkurugenzi Mtendaji wa Glogal Publishers Ndugu Eric
Shigongo. Athumani Hamisi alikuwa Mpigapicha Mkuu wa Magazeti ya
Daily/Sunday News na Habari Leo, yanayomilikiwa na Serikali kupitia
Shirika lake la Standard Newspaper, ambaye alipata ajali
iliyomsababishia baadhi ya viungo vyake kutokufanyakazi
Waziri wa
Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akizungumza
waandishi wa habari ambapo alisema Serikali itaendelea
kumsaidia Athumani Hamisi na kutafuta suluhisho la kudumu. Athumani
Hamisi alikuwa Mpigapicha Mkuu wa Magazeti ya Daily/Sunday News na
Habari Leo, yanayomilikiwa na Serikali kupitia Shirika lake la Standard
Newspaper,
ambaye alipata ajali iliyomsababishia baadhi ya viungo vyake kutokufanyakazi
ambaye alipata ajali iliyomsababishia baadhi ya viungo vyake kutokufanyakazi
Mkurugenzi
Mtendaji wa kampuni ya Glogal Publishers Ndugu Eric Shigongo akiagana
na Mtoto wa kwanza wa Athumani Hamisi anayeitwa Msafiri Athumani.
…………………………………………………………………
Waziri
wa Habari utamaduni Sanaa na michezo Nape Nauye ameahidi kutatua
changamoto zinazomkabili aliyekuwa mpiga Picha na mwandishi mwandamizi
Athumani Hamis. Wazir Nape ametoa kauli hiyo alipomtembelea nyumbani
kwake , Sinza Dar es salaam akiambatana na Mkurugenzi Mtendaji wa
kampuni ya Global Publisher Eric Shigongo. Waziri Nape ameamua
kumtembelea Athmani kutokana na kutambua mchango wake kwenye tasnia ya
habari ambapo aliitumikia kwa muda mrefu kabla ya kupata ulemavu.
“Amefanya Kazi kubwa serikalini, sisi kama serikali tunao wajibu wa
kumsaidia”. “Nimechukua Yale yote ambayo yanachangamoto kwake na
tunachukua uamuzi wa kumsaidia,”alisema Wazir Nape.
Waziri Nape amempongeza Rais MstaafuJakaya Kikwete kwa kumsaidia Athmani katika kipindi chote cha uongozi wake na kwamba yeye kama Waziri mwenye dhamana kwa kushirikiana na wadau wengine wataendelea kutoa msaada kwa Athmani na familia yake.
Pia Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers Ndugu Eric Shigongo ametoa wito kwa Watanzania kutoa msaada kwa moyo mmoja.

No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269