Breaking News

Your Ad Spot

Feb 4, 2016

RAIS MAGUFULI MGENI RASMI SIKU YA SHERIA NA MWAKA MPYA WA KIMAHAKAMA

Rais Dtk John Pombe Magufuli (kushoto) akisalimiana na Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman alipo wasili katika viwanja vya Mahakama wakati wa kilele cha Maadhimisho ya 21 ya siku ya Sheria na uzinduzi wa mwaka mpya wa kimahakama, Dar es Salaam, wa pili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,  Said Mecky Sadiki . (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)


Rais Dk. John Magufuli (kushoto), alisalimiana na Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman alipowasili katika Viwanja vya Mahakama wakati wa kilele cha Maadhimisho ya 21 ya Siku ya Sheria na uzinduzi wa mwaka mpya wa kimahakama 2016 Dar es Salaam jana. Wa pili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,  Said Sadiki.



Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman akikagua Gwaride lililo andaliwa.


No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages