Laigwanani
wa mila, Saibulu Olemariki, (kulia) akimuonyesha Mkurugenzi
wa Idara ya uratibu maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Brigedia Jenerali Mbazi
Msuya
baadhi ya ndizi zilizo katwa kwenye migomba iliyoanguka kufuatia upepo
mkali ulioathiri shamba lake la ekari 3, wakati Idara
ya uratibu maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, ilipokuwa ikikagua athari za
maafa hayo katika kijiji cha Mungere, wilayani
Monduli, tarehe 31 Januari , 2016. Mkurugenzi huyo amewaahidi wanakijiji
wa kijiji hicho ambao wameathirika kutokana na hali hiyo, kuwapatia
miche ya miti ili kukabiliana na athari hizo
Mkurugenzi wa Idara ya uratibu maafa Ofisi ya Waziri Mkuu,
Brigedia Jenerali Mbazi Msuya (kushoto), akimueleza jambo Laigwanani wa mila,
Saibulu Olemariki mara baada ya kukagua athari za upepo kwa
mashamba ya migomba katika kijiji cha Mungere, wilayani Monduli,
tarehe 31 Januari , 2016
Laigwanani wa mila, Saibulu Olemariki akionesha sehemu ya mgomba iliyoanguka baada ya upepo mkali kuathiri shamba lake la ekari 3, wakati Idara ya uratibu maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, ilipokuwa ikikagua athari za maafa hayo katika kijiji cha Mungere, wilayani Monduli, tarehe 31 Januari , 2016
Laigwanani wa mila, Saibulu Olemariki akimuonesha Mkurugenzi
wa Idara ya uratibu maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Brigedia Jenerali Mbazi Msuya
baadhi ya ndizi zilizo katwa kwenye migomba iliyoanguka baada
ya upepo mkali kuathiri shamba lake la ekari 3, wakati Idara
ya uratibu maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, ilipokuwa ikikagua athari za
maafa hayo katika kijiji cha Mungere, wilayani
Monduli, tarehe 31 Januari , 2016
Mkurugenzi wa Idara ya uratibu maafa Ofisi ya Waziri Mkuu,
Brigedia Jenerali Mbazi Msuya katika picha ya pamoja baada ya kukagua athari za upepo
Laigwanani wa mila, Saibulu Olemariki akimuongoza Mkurugenzi wa
Idara ya uratibu maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Brigedia Jenerali Mbazi Msuya
kukagua athari za upepo kwa mashamba ya migomba kijiji
cha Mungere, wilayani Monduli, tarehe 31 Januari , 2016. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269