Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimwapisha Makamo wake wa pili Ikulu Mjini Zanzibar leo (Picha na Ikulu, Zanzibar) |
Washauri wa Rais wa Zanzibar wa mambo mbali mbali ni miongoni mwa
Viongozi waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa Makamo wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu
Mjini Unguja
Balozi Seif Ali Iddi akielekea sehemu ya kula kiapo kuwa
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar alipoapishwa na Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika hafla
iliyofanyika leo Ikulu Mjini Zanzibar
Balozi Seif Ali Iddi akipeana mkono wa hongera na Mkewe Mama Asha Suleiman Iddi baada ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kumuapisha kuwa Makamo wa Pili |
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Makamo
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Mama
Asha Suleiman Iddi baada ya kumuapisha Makamo wa Pili wa
Rais wa Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo
Ikulu Mjini Zanzibar
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi
akipeana mkono wa hongera na Spika
wa Baraza la Wawakilishi, Zubeir Ali Maulid baada ya kuapishwa
kushika nafasi hiyo leo Ikulu Mjini Zanzibar
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269