Mkurugenzi wa Mauzo wa Kampuni ya Jumbo Camera House, Mathias Luoga
akionesha vifaa mbalimbali vya kamera wakati wa uzinduzi wa duka jipya
lililopo Jengo la NSSF Benjamin Mkapa, Dar es Salaam leo. Kushoto ni
Mkurugenzi wa kampuni hiyo, Sara Filikunjombe, mke wa aliyekuwa Mbunge
wa Jimbo la Ludewa, marehemu Deo Filikunjombe ambaye pia mmiliki wa
kampuni hiyo. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA: KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Mke wa marehemu Filikunjombe, Sara (wa pili kulia) akiwa na Mkurugenzi
wa Kampuni ya Benchmark Prodaction, Ritta Poulsen (wa pili kushoto),
Kaimu Mkurugenzi wa Kampuni ya Jumbo Camera House, Paul Buckendahl
(kushoto) pamoja na Mkurugenzi wa Mauzo wa Kampuni hiyo, Mathias Luoga
wakigongeana glasi zenye Champagn wakati wa hafla hiyo.
Wageni waalikwa wakioneshwa moja ya kamera na vifaa vyake inayouzwa
katika duka hilo kubwa la aina yake kwa Afrika Mashariki, Kati na
Kusini.
Paul akiwaongoza wageni waalikwa kusimama kwa dakika moja kumkumbuka marehemu Deo Filikunjombe
Mgeni rasimi katika hafla hiyo, Ritta Poulsen akihutubia wakati wa uzinduzi wa duka hilo
Kamera ya kisasa ya kupigia matukio kwa juu
Baadhi ya wageni waalikwa
Mkurugenzi wa Kampuni ya Jumbo Camera Hose, Sara Filikunjombe akiwa na Ritta na mmoja wa wageni wakati wa hafla hiyo.
Baadhi ya vifaa vya kamera
Wageni walikwa wakiangalia vifaa mbalimbali vya kamera dukani humo
Ssa ni wakati wa furaha
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269