Katibu
mwenezi Kata ya Miburani Ally Kamtande, akizungumza na wafuasi wa
Kamanda wa wa Vijana Mkoa wa Dar es Salaam jana baada ya Kesi ya msingi
iliyofunguliwa na Mbuge wa Jimbo la Temeke Abdallah Mtolela,
akiiomba mahakama ifutilie mbali shauri lililofunguliwa na Kamanda wa
Vijana Mkoa wa Dar es Salaam Abbas Mtemvu, (PICHA ZOTE NA UJIJIRAHAA
BLOG)
Kamanda wa Vijana Mkoa wa Dar es Salaam, Abbas Mtemvu akitoka Mahakamani mara baada ya kesi kuahirishwa hadi Machi 24, 2016
Kamanda wa Vijana Mkoa wa Dar es Salaam, Abbas Mtemvu akiwa na wanachama wake waliojitokeza kumsindikiza Mahakamani.
KESI
ya pingamizi iliyofunguliwa na Mbunge wa Temeke Abdallah Mtolea dhidi
ya aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo Abbas Mtemvu imeahirishwa hadi Machi
24 mwaka huu.Hayo yalisemwa na Katibu Mwenezi wa kata ya Miburani
kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Temeke, Ally Kamtande
wakati akizungumza na wanachama wa chama hicho ambao walijitokeza katika
Mahakama Kuu ya Tanzania jijini Dar es Salaam.Kamtande, aliwataka
wanachama wa CCM kumuomba Mungu ili ikifika Machi 24 kesi hiyo
isikilizwe na kuwapatia hukumu nzuri.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269