Waziri wa Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo Mhe.Nape Nnauye akisalimiana na mwenyekiti wa kamati ya
kudumu ya bunge ya huduma na maendeleo ya jamii Bw.Peter Serukamba
katika viwanja vya urushaji wa matangazo ya shirika la utangazaji
Tanzania (TBC) Kisarawe
Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya
Bunge ya huduma na maendeleo ya Jamii Bw.Peter Serukamba akieleza jambo
wakati kamati hiyo ilipofanya ziara ya kuangalia mradi wa upanuzi wa
masafa ya usikivu ya shirika la utangazaji Tanzania iliyopo kisarawe
Pwani.
Waziri wa Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo Mhe.Nape Nnauye (wa pili kulia) akiwasilisha jambo kwa
wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya huduma na Maendeleo ya jamii
walipotembelea mradi wa upanuzi wa masafa ya usikivu ya shirika la
utangazaji Tanzania iliyopo kisarawe Pwani.
Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya
Bunge ya huduma na maendeleo ya Jamii Bw.Peter Serukamba akieleza jambo
wakati kamati hiyo ilipofanya ziara ya kuangalia mradi wa upanuzi wa
masafa ya usikivu ya shirika la utangazaji Tanzania iliyopo kisarawe
Pwani.
Mkurugenzi wa shirika la
Utangazaji Tanzania (TBC) Bw.Ayoub Ryoba akiwasilisha taarifa ya
shirika hilo kwa wajumbe wa wa kamati ya kudumu ya Bunge ya huduma na
Maendeleo ya jamii kuhusiana na upanuzi wa masafa ya usikivu kisarawe
Pwani.Wengine pichani ni Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo
Mhe.Nape Nnauye,Naibu Waziri wa wizara hiyo Bi.Anastazia Wambura na
mwenyekiti wa kamati hiyo Bw.Peter Serukamba
Picha na Daudi Manongi-Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269