Waziri wa mambo ya ndani ya nchi, Charles Kitwanga, akikagua gwaride la
heshima lililoandaliwa na kikosi cha kutukiza ghasia, (FFU), alipowasili
kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Karume kisiwani Unguja, Leo
Machi 16, 2016, tayari kufanya tathmini ya hali ya mambo ilivyo kisiwani
Zanzibar kuelekea simu ya uchaguzi wa maeudio uliopangwa kufanyika
Machine 20, 2016.(Picha na WMNN).
Waziri Kitwanga,(kushoto), akizungumza na Kamishna wa Polisi Zanzibar, Hamdan Omar Makame, Saa chache baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Karume Mjini Unguja.
Waziri Kitwanga, akizungumza na makamanda wa vyeo vya juu wa kesho la Polisi Zanzibar, Machi 16, 2016.
Waziri wa mambo ya ndani ya nchi, Charles Kitwanga, akipokelewa na
Kamishna wa Polisi Zanzibar, Hamdan Omar Makame, kwenye uwanja wa ndege
wa kimataifa wa Karume Mjini Unguja, Machine 16, 2016.
Waziri Kitwanga,(kushoto), akizungumza na Kamishna wa Polisi Zanzibar, Hamdan Omar Makame, Saa chache baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Karume Mjini Unguja.
Waziri Kitwanga, akizungumza na makamanda wa vyeo vya juu wa kesho la Polisi Zanzibar, Machi 16, 2016.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269