Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha Luteni Mstaafu Chiku
Gallawa kuwa mkuu wa mkoa mpya wa Songwe Ikulu jijini Dar es salaam , Machi
28, 2016
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisaini hati
ya kiapo cha Luteni Mstaafu Chiku Gallawa mara baada ya kumuapisha
kuwa mkuu wa mkoa mpya wa Songwe Ikulu jijini Dar es salaam
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimkabidhi
nyezo za kazi Luteni Mstaafu Chiku Gallawa mara baada ya kumuapisha
kuwa mkuu wa mkoa mpya wa Songwe Ikulu jijini Dar es salaam
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli katika picha ya
pamoja na Makamu wa Rais Mhe Samia suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe Kassim
na Luteni Mstaafu Chiku Gallawa baada ya kumuapisha
kuwa mkuu wa mkoa mpya wa Songwe Ikulu jijini Dar es salaam
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipeana mikono
na Luteni Mstaafu Chiku Gallawa mara baada ya kumuapisha kuwa mkuu
wa mkoa mpya wa Songwe Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 28, 2016. Kulia ni
mume wa mkuu huyo wa Mkoa Bw. Juma` Boma na kushoto ni bintiye. (Picha na Ikulu)
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimshuhudia
Luteni Mstaafu Chiku Gallawa akiweka sahihi katika hati ya kiapo mara baada ya
kuapa kuwa mkuu wa mkoa mpya wa Songwe Ikulu jijini Dar es salaam
Mkuu wa
mkoa mpya wa Songe Luteni Mstaafu Chiku Gallawa.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269