Breaking News

Your Ad Spot

Mar 26, 2016

SHEIN AMWAPISHA MWANASHERIA MKUU ZAZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha  Said Hassan Said kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar,(Picha na Ikulu)
Mwanasheria Mkuu, Said, akipitia kiapo kabla ya kuapa Ikulu ya Zanzibar

Mkurugenzi wa Mashtaka  Zanzibar, Ibrahim na  Mzee na Mrajis wa Mahakama Kuu Zanzibar George Kazi ni miongoni mwa Viongozi waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Said Hassan Said leo Ikulu Mjini Unguja
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Abdalla Mwinyi Khamis na Mstahiki Meya wa Zanzibar Khatib Abrahman Khatib ni miongoni mwa  Viongozi waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Said Hassan Said
Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Said Hassan Said akiwa katika ukumbi wa mikutamo  Ikulu Mjini Unguja na Jaji wa Mahakama Kuu ya Zanzibar, Mshibe Ali Bakari   kabla ya kuapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.ALi Mohamed Shein
Viongozi mbali mbali na watendaji waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa Said Hassan Said kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar


Mwnasheria Mkuu wa Zanzibar, Said Hassan Said

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. ALi Mohamed Shein akiwa katika picha na   Said Hassan Said   Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar  na familia yake baada ya kumuapisha rasmi leo katika hafla iliyofanyika  Ikulu Mjini Zanzibar

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages