SPIKA AKUTANA NA WABUNGE KUTOKA UJERUMANI
Spika
wa Bunge Job Ndugai akimkabidhi zawadi Kiongozi wa Msafara wa
Wabunge kutoka Bunge la Ujerumani Jens Koeppen. Anayeshuhudia kulia
ni Naibu Spika wa Bunge Dkt Tulia Ackson. Wabunge hao walimtembelea
Spika ofisini kwake leo Jijini Dar es Salaam
Spika
wa Bunge Job Ndugai akipokea zawadi Kutoka kwa Kiongozi wa Msafara
wa Wabunge kutoka Bunge la Ujerumani Jens Koeppen. Wabunge hao
walimtembelea Spika ofisini kwake leo Jijini Dar es Salaam
Spika
wa Bunge Job Ndugai akimsikiliza Kiongozi wa Kiongozi wa Msafara wa
Wabunge kutoka Bunge la Ujerumani Jens Koeppen (wa pili kushoto)
waliomtembelea Spika ofisini kwake leo Jijini Dar es Salaam. Wa kwanza
kulia ni Naibu Spika Dkt Tulia Ackson na wa Kwanza kushoto ni Balozi wa
Ujerumani nchini Bw. Egon Kochake.
Spika
wa Bunge Job Ndugai akiagana na Kiongozi wa Msafara wa Wabunge
kutoka Bunge la Ujerumani Jens Koeppen waliomtembelea Spika ofisini
kwake leo Jijini Dar es Salaam. Anayeshuhudia wa kwanza kulia ni Naibu
Spika Dkt Tulia Ackson na wa Kwanza kushoto ni Balozi wa Ujerumani
nchini Bw. Egon Kochake.
Spika
wa Bunge (wa pili kutoka kulia kwa walio kaa) akiwa katika picha ya
Pamoja na Wabunge la Ujerumani waliomtembelea leo Ofisini kwake Jijini
Dar es Salaam. Wengine katika picha kutoka kulia ni Naibu Spika Dkt
Tulia Ackson, Kiongozi wa Msafara wa Wabunge kutoka Bunge la Ujerumani . Jens Koeppen na Balozi wa Ujerumani nchini Egon Kochake. (Picha
na Ofisi ya Bunge)
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269