
Ligi Kuu ya Uingereza inataraji kuendelea leo kwa michezo mitatu.
Mchezo wa kwanza Manchester City
itakuwa ugenini kuwafata Norwich City katika uwanja wa Carrow Road,
mchezo unaotarajiwa kuchezwa majira ya saa 15:45 kwa masaa ya Afrika
Mashariki.
Michezo mingine ni;

Bournemouth – Swansea City 18:00 EAT

Stoke City – Southampton 18:00 EAT
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269