Baba wa marehemu (mwenye kofia), Issa
Michuzi akipewa pole na baadhi waombolezaji mara baada ya maziko ya mtoto wake
Maggid Muhidin Michuzi (18)yaliyofanyika katika makaburi ya Kisutu jijini Dar
es Salaam leo.
Waziri Mkuu mstaafu, Joseph Sinde Warioba akimpa pole Issa Michuzi.
Rais Mstaa mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete akiagana na Issa Michuzi.
Issa Michuzi (mwenye kofia) akifuatiwa na Rais mstaafu Jakaya Kikwete (kulia kwake) na viongozi wengine wa serikali wakati maziko.
Baadhi ya waumini wakiomba dua.
Baba wa marehemu Issa Michuzi (katikati) akiwa na huzuni.
Baba mkubwa wa marehemu, Ismail Michuzi akitoa shukrani kwa walioshiriki mazishi ya mtoto wao.
Mroki Mroki ambaye alikuwa MC akitoa ya muongozo wakati wa mazishi.
Waombolezaji wakiweka udongo kwenye kaburi la marehemu.
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Mhandisi John Kijazi akiweka udongo.
Waziri Mkuu mstaafu Joseph Warioba akiweka udongo.
Rais mstaafu Jakaya Kikwete akiweka udongo.
Baba wa marehemu, Issa Michuzi akiweka udongo.
Mwili wa marehemu ukiwekwa kaburini.
Mwili ukiwasili makaburini.
Rais mstaafu Jakaya Kikwete akimpa pole baba wa marehemu, Issa Michuzi.
Mwili wa marehemu ukiingizwa msikitini Upanga.
Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete (kushoto) akimpa pole baba wa marehemu Issa Michuzi.
Mama wa marehemu (aliyevaa nguo nyeupe) akiwa na ndugu wa karibu.
Baba wa marehemu akiwa na viongozi wa dini wakiomba dua.
Mke wa Rais mama Janeth Magufuli (kulia) akiwa na ndugu wa marehemu.
Baadhi ya waombolezaji wakipa chakula.
Baba wa marehemu Issa Michuzi akipata chakula.
Mke wa Rais mama Janeth Magufuli (kulia) akiwa na baba wa marehemu.
Baba wa marehemu akiwa na baadhi ya waombolezaji.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269