Breaking News

Your Ad Spot

May 14, 2016

NAIBU KATIBU MKUU WA CCM-BARA RAJAB LUHAVI AZUNGUMZA NA MAKATIBU WA CCM WA KATA NA MATAWI NA KAMATI YA SIASA YA WILAYA YA TANGA JIONI HII LEO


Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajabu Luhwavi akizungumza na  Makatibu wa CCM wa Kata, Matawi na Kamati ya Siasa ya Wilaya ya Tanga leo jioni katika ukumbi wa Ofisi ya CCM mkoa wa Tanga. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Mafunzo katika Idara ya Itikadi na Unezi,  Frank Uhahula na Katibu wa CCM mkoa wa Tanga, Shija Othman na kulia ni Katibu wa CCM wilaya ya Tanga Mjini Lucia Mwiru
 Baadhi ya wajumbe wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi alipozungumza na Makatibu wa CCM wa Kata, Matawi na Kamati ya Siasa ya Wilaya ya Tanga katika ukumbi wa Ofisi ya CCM mkoa wa tanga leo jioni 
  Baadhi ya wajumbe wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi alipozungumza na Makatibu wa CCM wa Kata, Matawi na Kamati ya Siasa ya Wilaya ya Tanga katika ukumbi wa Ofisi ya CCM mkoa wa tanga leo jioni 
 Mmoja wa wajumbe ambaye ni muumini wa Dini ya Kikristu, akifanya maombi utulivu uwepo na kuendelea ndani ya CCM baada ya Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajabu Luhwavi kuzungumza na Makatibu wa CCM wa Kata, Matawi na Kamati ya Siasa ya Wilaya ya Tanga katika ukumbi wa Ofisi ya CCM mkoa wa tanga leo jioni 
 Mmoja wa wajumbe ambaye ni muumini wa Dini ya Kiislam, akifanya maombi utulivu uwepo na kuendelea ndani ya CCM baada ya Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajabu Luhwavi kuzungumza na Makatibu wa CCM wa Kata, Matawi na Kamati ya Siasa ya Wilaya ya Tanga katika ukumbi wa Ofisi ya CCM mkoa wa tanga leo jioni 
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajabu Luhwavi akiimbisha wimbo wa hamasa wa CCM, baada ya kuzungumza na  Makatibu wa CCM wa Kata, Matawi na Kamati ya Siasa ya Wilaya ya Tanga katika ukumbi wa Ofisi ya CCM mkoa wa tanga leo jioni. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Mafunzo katika Idara ya Itikadi na Unezi,  Frank Uhahula na Katibu wa CCM mkoa wa Tanga, Shija Othman na kulia ni Kada wa CCM ambaye ni Mkuu wa mkoa wa Tanga Martine Shigella na Katibu wa CCM wilaya ya Tanga Mjini Lucia Mwiru
 Kada wa CCM ambaye ni Mkuu wa mkoa wa Tanga Martine Shigella akizungumza baada ya Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajab Luhwavi kuzungumza na Makatibu wa CCM wa Kata, Matawi na Kamati ya Siasa ya Wilaya ya Tanga katika ukumbi wa Ofisi ya CCM mkoa wa tanga leo jioni 
  Kada wa CCM ambaye ni Mkuu wa mkoa wa Tanga Martine Shigella akizungumza baada ya Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajab Luhwavi kuzungumza na Makatibu wa CCM wa Kata, Matawi na Kamati ya Siasa ya Wilaya ya Tanga katika ukumbi wa Ofisi ya CCM mkoa wa tanga leo jioni 
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi akiagana na baadhi ya wajumbe,  baada ya kuzungumza na Makatibu wa CCM wa Kata, Matawi na Kamati ya Siasa ya Wilaya ya Tanga katika ukumbi wa Ofisi ya CCM mkoa wa tanga leo jioni 
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajab Luhwavi, akizungumza na Mzee maarufu wa mkoa wa Tanga,  nje ya ukumbi baada ya  kuzungumza na Makatibu wa CCM wa Kata, Matawi na Kamati ya Siasa ya Wilaya ya Tanga katika ukumbi wa Ofisi ya CCM mkoa wa tanga leo jioni 
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajab Luhwavi akiwa tayari kuondoka baada ya  kuzungumza na Makatibu wa CCM wa Kata, Matawi na Kamati ya Siasa ya Wilaya ya Tanga katika ukumbi wa Ofisi ya CCM mkoa wa tanga leo jioni 
Vijana wa Green Guard wa Umoja wa Vijana wa CCM mkoa wa Tanga, waliosimamimia ulinzi na baadhi ya huduma nyingine Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajab Luhwavi  kuzungumza na Makatibu wa CCM wa Kata, Matawi na Kamati ya Siasa ya Wilaya ya Tanga katika ukumbi wa Ofisi ya CCM mkoa wa tanga leo jioni. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages