Ugonjwa wa Takatsobu
Msongo wa mawazo ambao husababisha maumivu katika kifua
na mtu kushindwa kupumua hutokea wakati wa raha na hasira ,huzuni na
hofu,utafiti nchini Uswizi umebaini.
na mtu kushindwa kupumua hutokea wakati wa raha na hasira ,huzuni na
hofu,utafiti nchini Uswizi umebaini.
Robo tatu ya visa vya ugonjwa wa Takotsubo ambao hubadili
umbo la moyo na kusababisha kifo hutokana na msongo wa mawazo.
umbo la moyo na kusababisha kifo hutokana na msongo wa mawazo.
Utafiti huo uliofanywa katika hospitali ya Zurich na
kuchapishwa katika jarida la moyo barani Ulaya,unasema kuwa kila kisa kimoja
kati ya 20 husababishwa na raha.
kuchapishwa katika jarida la moyo barani Ulaya,unasema kuwa kila kisa kimoja
kati ya 20 husababishwa na raha.
Tatizo hilo huwa ni la mda na watu hurejelea hali yao ya
kawaida baadaye.
kawaida baadaye.
Katika utafiti huo wa wagonjwa 1750,watafiti walibaini
matatizo ya moyo yanayosababishwa na:
matatizo ya moyo yanayosababishwa na:
Sherehe ya kuzaliwa
Harusi ya mtoto wa kiume
Kukutana na rafiki baada ya miaka 50
Kufikia umri wa kuitwa bibi.
Timu unayoipenda kushinda mechi.
Kushinda bahati nasibu.
Utafiti huo pia umesema kuwa visa vingi huwatokea
wanawake waliomaliza kuzaa.
wanawake waliomaliza kuzaa.
Daktari Jelena Ghadri,mmoja ya watafiti anasema:Tumebaini
kwamba ugonjwa huo unaweza kusababishwa na sababu mbali mbali na
ilivyotarajiwa.
kwamba ugonjwa huo unaweza kusababishwa na sababu mbali mbali na
ilivyotarajiwa.
Mtu mwenye ugonjwa huo wa Takotsubo sio aliyevunjika moyo
kwa sababu baadaye mtu huyo anaweza kuwa mwenye furaha.
kwa sababu baadaye mtu huyo anaweza kuwa mwenye furaha.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269