Breaking News

Your Ad Spot

Mar 3, 2016

KOREA KASKAZINI YAJIBU VIKWAZO VYA UN

Korea Kaskazini imerusha makombora ya masafa mafupi

Korea Kaskazini imerusha makombora ya masafa mafupi, baharini kujibu vikwazo vipya ilivyowekewa na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
Kombora hilo limerushwa kulalamikia vikwazo vya Umoja wa Mataifa
Jeshi la Korea Kusini limethibitisha kushuhudia shughuli hiyo na kusema haikulenga yeyote. Wadadisi wameonya kutokea taharuki kwenye rasi ya Korea kutokana na vikwazo hivyo.


Korea Kaskzini ilifanya majaribio ya nyuklia hapo mwakani. Chini ya vikwazo vipya mizigo yote inayoingia Korea Kaskazini kutoka nje itaanza kukaguliwa, huku watu kadhaa na mashirika yakiwekewa vikwazo.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages