Mbunge
wa Bunda (V) Boniface Getere, (wa kwanza kushoto) akizungumza jambo
wakati wa Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii ilipotembelea moja ya
chumba wanacholala wagonjwa wenye matatizo ya watu wenye upungufu wa
akili katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Dk. Frola Lwakatare wa kitengo cha mionzi cha Muhimbili akitoa maelezo ya kitaalam kwa wajumbe wa Kamati ya Maendeleo ya Jamii waliotembelea hapo
Kaimu Mkurugenzi wa Fedha na Ugavi wa Moi Kulwa Malendeja akimsalimia na kumkaribisha Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii, Peter Serukamba alipotembelea Taasisi ya Tiba ya Mifupa na upasuaji, Ubongo na Mishipa ya Fahamu Muhimbili (MOI)
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa Moi, Dr. Othman Kiloloma akiwasilisha ripoti ya Kiutendaji ya mwaka
Mbunge
wa Viti Maalum Vyuo Vikuu na Mkuu wa Wilaya Dodoma, Dr. Jasmine
Tiisekwa akizungumza jambo wakati wa Kamati ya Bunge ilipo tembelea
Muhimbili, Moi na Taasisi ya Jakaya Kikwete
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya
Muhimbili, Profesa. Lawrence Museru akitoa maelezo ya kina namna Hospitali
hiyo ya Taifa inavyojiendesha na changamoto zake.
Waziri
Kivuli wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi , Susan Lyimo
akizungumza jambo wakati wa Kamati hiyo ya Bunge ilipotembelea Hospitali
ya Taita ya Muhimbili, Taasisi ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu na
Upasuwaji wa Ubongo Moi na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete Jijini Dar
es Salaam leo.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii, Peter Serukamba akisaini kitabu cha wageni Moi, wakati kamati hiyo ilipotembelea Hospitali ya Taifa Muhimbili, na Taasisi ya Jakaya Kikwete |
Mbunge
wa Jimbo la Ilala na Mjumbe wa Kamati ya Bunge Mussa Zungu akizungumza
jambo wakati wa majumuisho ya Kamati hiyo ilipotembelea Hospitali ya
Taifa Muhimbili, Taasis ya Tiba Moi na Taasisi ya Jakaya Kikwete Dar es
Salaam.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269