Breaking News

Your Ad Spot

Apr 17, 2016

MAMA WA MHARIRI MTENDAJI WA THE NEW HABARI ABSALOM KIBANDA AZIKWA RUNGWE MBEYA

ab2
Familia ya wanahabari kutoka media mbalimbali pamoja na baadhi ya wahariri walioshiriki mazishi ya mama wa mhariri mtendaji wa The New Habari Absalom Norman Kibanda aliyesimama katikati mwenye miwani  mara baada ya maziko yaliyofanyika Rungwe mission wilayani Rungwe mkoani Mbeya jana mchana.
ab1
theNkoromo blog  inaungana na familia  kukupa pole sana kwa msiba uliokupata na kumuomba mungu akupe uvumilivu wewe pamoja na ndugu wote katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na mpendwa wenu katika familia Mungu alitoa na Mungu ametwaa jina la Bwana Lihimidiwe AMEN 

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages