Breaking News

Your Ad Spot

Apr 27, 2016

MWILI WA MZEE PIUS MKUNJA WAAGWA JIJINI MWANZA KWA AJILI YA MAZISHI MKOANI MOROGORO

Padri wa Kanisa la Roman Cathoric, Parokia ya Watakatifu Wote Kiloleli Manispaa ya Ilemela, Jijini Mwanza, akiongoza ibada ya maombi ya kuuaga mwili wa Marehemu, Mzee Pius Joseph Mkunja, Mzaliwa na Mkazi wa Mpanga Kilombero Mkoani Morogoro. Ibada hiyo ilifanyika jana kanisani hapo. Picha zaidi>BOFYA

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages