Padri
wa Kanisa la Roman Cathoric, Parokia ya Watakatifu Wote Kiloleli
Manispaa ya Ilemela, Jijini Mwanza, akiongoza ibada ya maombi ya kuuaga
mwili wa Marehemu, Mzee Pius Joseph Mkunja, Mzaliwa na Mkazi wa Mpanga
Kilombero Mkoani Morogoro. Ibada hiyo ilifanyika jana kanisani hapo.
Mzee
Mkunja alifariki dunia juzi April 25,2016 katika Hospitali ya Rufaa
Bugando Jijini Mwanza akikokuwa akipata matibabu. Alizaliwa Mwaka 1926
hivyo amefariki akiwa na umri wa miaka 90. Kifo chake kimetokana na
tatizo la vidonda vya tumbo. Alikuwa mfanyabiashara maarufu enzi za uhai
wake.
Mwili wake unasafirishwa hii leo April 27,2016 kuelekea nyumbani kwake Mpanga, Kilombero Mkoani Morogoro kwa ajili ya Mazishi.
Tunatoa natoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki walioguswa na msiba huu, akiwemo mtoto wa Marehemu, Bi.Idda Adam.
Padri
wa Kanisa la Roman Cathoric, Parokia ya Watakatifu Wote Kiloleli
Manispaa ya Ilemela, Jijini Mwanza, akiongoza ibada ya maombi ya kuuaga
mwili wa Marehemu, Mzee Pius Joseph Mkunja, Mzaliwa na Mkazi wa Mpanga
Kilombero Mkoani Morogoro. Ibada hiyo ilifanyika jana kanisani hapo.
Padri
wa Kanisa la Roman Cathoric, Parokia ya Watakatifu Wote Kiloleli
Manispaa ya Ilemela, Jijini Mwanza, akiongoza ibada ya maombi ya kuuaga
mwili wa Marehemu, Mzee Pius Joseph Mkunja, Mzaliwa na Mkazi wa Mpanga
Kilombero Mkoani Morogoro. Ibada hiyo ilifanyika jana kanisani hapo.
Waombolezaji
Jijini Mwanza wakiuaga mwili wa Marehemu Mzee Pius Joseph Mkunja,
Mzaliwa na Mkazi wa Mpanga Kilombero Mkoani Morogoro katika ibada
iliyofanyika jana katika Kanisa la Roman Cathoric, Parokia ya Watakatifu Wote Kiloleli Manispaa ya Ilemela, Jijini Mwanza.

Mwili wa Marehemu Mzee Pius Joseph Mkunja, Mzaliwa na Mkazi wa Mpanga Kilombero Mkoani Morogoro ukiagwa Jijini Mwanza.
Mbele kushoto ni Mtoto wa Marehemu Mzee Pius Joseph Mkunja, akiwa pamoja na mmewe katika ibada ya kuuaga mwili wa marehemu Jijini Mwanza.
Ndugu, Jamaa na Marafiki wakiwa katika ibada ya kuuaga mwili wa Marehemu Mzee Pius Joseph Mkunja, katika ibada iliyofanyika jana katika Kanisa la Roman Cathoric, Parokia ya Watakatifu Wote Kiloleli Manispaa ya Ilemela, Jijini Mwanza.
Waombolezaji wakiwa katika ibada ya kuuaga mwili wa Marehemu Mzee Pius Joseph Mkunja, katika ibada iliyofanyika jana katika Kanisa la Roman Cathoric, Parokia ya Watakatifu Wote Kiloleli Manispaa ya Ilemela, Jijini Mwanza.

Baada
ya ibada, Mwili wa marehemu Mzee Mkunja ukipelekwa nyumbani kwa ajili
ya maandalizi ya kuusafirisha kwenda Mkoani Morogoro kwa ajili ya
mazishi.
Baada
ya ibada, Mwili wa marehemu Mzee Mkunja ukiwasili nyumbani kwa ajili ya
maandalizi ya kuusafirisha kwenda Mkoani Morogoro kwa ajili ya mazishi.
Waombolezaji wakiwa nyumba
Waombolezaji wakiwa nyumba
Ndugu, Jamaa na Marafiki wakipata chakula baada ya ibada ya kuuaga mwili wa marehemu
Ndugu, Jamaa na Marafiki wakipata chakula baada ya ibada ya kuuaga mwili wa marehemu.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269