Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Said Meck
Sadik akitia saini katika kitabu cha wageni alipotembelea ofisi ya Mkuu
wa wilaya ya Hai leo.
Mkuu mpya wa wilaya Hai , Gelasius
Byakanwa (kushoto) akimuelekeza jambo Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Said Meck
Sadik alipotembelea ofisini kwake mapema leo.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro , Said Meck
Sadik akizungumza na watendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Hai.
Mkuu mpya wa wilaya ya Hai, Gelasius
Byakanwa akitoa taarifa ya wilaya hiyo kwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Said Meck
Sadik alipotembelea ofisini kwake mapema leo.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya
Hai ,Said Mderu akiandaa taarifa kwa ajili ya kukabidhi kwa mkuu wa Mkoa
wa Kilimanjaro , Said Meck
Sadik.
Mkuu wa Polisi wilaya ya Hai, OCD
Pancras Mdimi akifuatilia taarifa ya wilaya iliyokuwa ikitolewa kwa mkuu
wa mkoa wa Kilimanjaro.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Said Meck
Sadik akisoma ubao wenye majina ya wakuu wa wilaya waliowahi kufanya
kazi katika wilaya hiyo .
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro , Said Meck
Sadik akiongozana na Mkuu mpya wa wilaya ya Hai, Gelasius Byakanwa
wakati wakitoka katika ofisi ya mkuu huyo wa wilaya.
Na Dixon Busagaga wa Blog ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269