Mkuu
wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akifungua, Mkutano wa Watunza
kumbukumbu Jijini Dar es Salaam leo (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Mshauri
Mkuu wa Chama cha wataalamu hao na Afisa kumbukumbu na Taarifa za Afya
Mwandamizi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Geofrey Semu akizungumza na
washiriki hao kabla ya kufunguliwa Mkutano huo na Mkuu wa Mkoa wa Dar
es Salaam, Paul Makonda ambapo mkutano huo unatarajiwa kufungwa kesho na
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
Baadhi ya washiriki
Baadhi
ya washiriki kutoka Mikoa Mbalimbali Tanzania wakisikiliza kwa makini
wakati wa Mkuu wa Mkoa Paul Makonda alipokua akizungumza leo Jijini Dar
es Salaam
Baadhi
ya washiriki wenyeji katika Hospitali ya Taifa Muhimbili na wageni
kutoka Mikoa mbalimbali Tanzania wakisikiliza kwa umakini
Baadhi ya washiriki toka Mikoa Mbalimbali wakimsiliza Mkuu wa Mkoa
Paul Mamonda (hayupo pichani) na mwenyeji mwenyeji wao, Elizabeth
Mlindoko (wa pili kulia) kutoka Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Upasuaji wa
Ubongo na Mishipa ya Fahamu Muhimbili (MOI)
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269