Breaking News

Your Ad Spot

Apr 27, 2016

RAIS DK. MAGUFULI AWAAPISHA MAKATIBU TAWALA WAPYA WA MIKOA KUMI, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM, LEO

 . Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Ndugu Jumanne Abdallah Sagini kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu, Ikulu jijini Dar es Salaam. 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Ndugu Selestine Muhochi Gesimba kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Geita, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Ndugu Amantius Casmiri Msole kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Ndugu Zuberi Mhina Samataba kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani, Ikulu jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Thea Medard Ntara kuwa katibu Tawala wa mkoa wa Tabora, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Ndugu Richard Nkingwa Kwitega kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha, ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Eng. Aisha Salim Amour kuwa Katibu Tawala wa mkoa wa Kilimanjaro, Ikulu jijini Dar es Salaam. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Eng. Zena Ahmed Said kuwa Katibu Tawala wa mkoa  wa Tanga, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Ndugu Albert Gabriel Msovela kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga, Ikulu jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Angelina Mageni Lutambi kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Singida, ikulu jijini Dar es Salaam.




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Makatibu Tawala wapya wa Mikoa 10 mara baada ya Kuwaapisha. Kulia kwake ni Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan na Kushoto kwake  ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Makatibu Tawala wapya mara baada ya kupiga nao picha ya pamoja Ikulu jijini Dar es Salaam. Picha zote na Ikulu

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages